The Revolutionary Government of Zanzibar
Zanzibar Planning Commission

#

KIKAO CHA KAMATI YA WATAALAMU YA MKURABITA

Kamishna, Idara ya Mipango Kitaifa, Maendeleo ya Kisekta na Kupunguza Umasikini Nd. Mohammed Salim masoud, ameongoza kikao cha kamati ya Wataalamu cha kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji ya shughuli za MKURABITA katika kipindi cha July-Disemba 2022/2023.

10 February, 2023 Read More
#

KIKAO CHA KUJADILI HALI YA MFUMKO WA BEI ZANZIBAR.

Katibu Mtendaji Tume ya Mipango Zanzibar, Dkt. Rahma S. Mahfoudh akiongoza kikao cha kujadili mfumko wa bei na mwenendo wa bei za bidhaa kwa mwezi wa Januari mwaka 2023.

05 February, 2023 Read More
#

UWASILISHAJI WA MATOKEO YA TAFITI YA KUENDELEZA USTAWI WA MTOTO KATIKA JAMII.

Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Mhandisi Zena Ahmed Said akiongoza warsha ya kikao kazi cha Uwasilishaji wa matokeo ya Tafiti ya kuendeleza ustawi wa Mtoto katika jamii.

04 February, 2023 Read More
#

UZINDUZI WA UTOAJI HATI ZA URASIMISHAJI ARDHI

Tume ya Mipango Zanzibar kupitia idara ya mipango ya kitaifa, maendeleo ya kisekta na kupunguza umasikini, imeshiriki katika Uzinduzi wa utoaji hati za urasimishaji ardhi kwa wananchi wa shehia ya Shakani ambapo wananchi mbali mbali walikamilisha taratibu zote wamepatiwa Hati za ardhi zao.

10 May, 2021 Read More
#

KIKAO CHA WADAU WA UNFPA

Tume ya Mipango Zanzibar Kupitia Idara ya mipango na maendeleo ya watendakazi imefanya kikao kazi cha wadau wa UNFPA kujadili utekelezaji na changamoto zilizojitokeza katika utekelezaji wa programu mbali mbali katika kipindi cha robo mwaka Machi hadi Juni 2022. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Tume ya Mipango na kimeongozwa na Kamishna wa Idara hiyo Ndugu Salama Ramadhan Makame.

5 July, 2022 Read More
#

MAANDALIZI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA KUPAMBANA NA UMASIKINI ZANZIBAR

Tume ya Mipango Zanzibar Kupitia Idara ya mipango ya kitaifa, maendeleo ya kisekta na kupunguza umasikini imefanya kikao cha pamoja na wadau kutoka taasisi mbali mbali kujadili maandalizi ya Maadhimisho ya wiki ya kupambana na umasikini Zanzibar inayotarajiwa kuadhimishwa kuanzia tarehe 13 hadi 17 October 2022.

29 June,2022 Read More
#

MAFUNZO YA MKURABITA NA ZADEP KWA MAAFISA WA OFISI YA RAIS, FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR

Tume ya Mipango Zanzibar Kupitia Idara ya mipango ya kitaifa, maendeleo ya kisekta na kupunguza umasikini imefanya mafunzo ya kutoa uelewa juu ya mradi wa MKURABITA kwa maafisa na watendaji mbali mbali wa Ofisi ya Rais Fedha na Mipango.

23 June, 2022 Read More
#

MAANDALIZI YA UTEKELEZAJI WA RIPOTI YA HIARI KWA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU (SDGs)

Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar Dkt. Rahma S. Mahfoudh amefungua kikao kazi cha siku 5 cha maandalizi ya Utekelezaji wa Ripoti ya Hiari kwa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) kwa upande wa Zanzibar mwaka 2023 kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar.

22 June, 2022 Read More