THE REVOLUTIONARY GOVERNMENT OF ZANZIBAR
ZANZIBAR PLANNING COMMISSION

#

UWASILISHAJI WA MATOKEO YA TAFITI YA KUENDELEZA USTAWI WA MTOTO KATIKA JAMII.


2023-02-04

Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Mhandisi Zena Ahmed Said akiongoza warsha ya kikao kazi cha Uwasilishaji wa matokeo ya Tafiti ya kuendeleza ustawi wa Mtoto katika jamii. Warsha hiyo imehusisha Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu wakuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Maafisa mbalimbali wa Taasisi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.